1. Leo Mh. Rais katoa Fedha 1 Billion kwa ajili ya kuchangia maandalizi ya mashindano ya africa U17 yanayofanyika mwezi ujayo hapa Dsm.
2. Taifa Stars imekwenda Afcon tayari kwa nafasi ya kuingia tu ina maana imekuwa 4th kabla ya mashindano hivyo hata akitoka hatua hii ana zawadi toka CAF ya fedha dola 475,000 sawa na Tshs. 1.1 billion hivi.
4. Serengeti boys U17 ipo kwenye mashindano ya Africa yanayofanyika hapa kwa nafasi iliyokuwepo nayo sasa 4th hata ikiishia hapo inapata fedha dola 50,000 sawa na Tshs. 115m hivi.
4. Simba imetinga Quarter final ya Caf Champion League mpaka hapa ilipofikia ikitoka inapata fedha dola 650,000 sawa na Tshs. 1.5 billion hivi.
*NAJUA WAJUA ILA NATAKA KUKUJUZA ZAIDI*
ReplyDelete1. Leo Mh. Rais katoa Fedha 1 Billion kwa ajili ya kuchangia maandalizi ya mashindano ya africa U17 yanayofanyika mwezi ujayo hapa Dsm.