MWENYEKITI wa klabu ya Yanga, Yusuph Manji,
Jumamosi atawamwaga baadhi ya Wajumbe wa
Kamati ya utendaji baada ya kuona hawaendani
na kasi yake.
Yanga Jumamosi itafanya mkutano mkuu wa
mwaka wa klabu hiyo, huku ukiwa ajenda
mbalimbali ikiwemo hiyo ya kutimua baadhi ya
wajumbe wa kamati ya utendaji.
Chanzo maalum ikiliambia jambo Leo kuwa Manji
ameamua kuwatema wenzake hao, baada ya kuna
hawaki kuwa nae na kutoa lawama nyingi dhidi
yake ikiwa ni pomoja na kutofanya vikao maalum
vya kamati ya utendaji.
"Tumesikia Mwenyekiti anakereka na tabia za
baadhi ya wajumbe ambao wanaondolewa kwa
kura za wajumbe ambazo wanapiga kuwakataa au
kuwakubali"kilisema chanzo hicho.
mwish
Click here to Reply or Forward
|
No comments:
Post a Comment