Simba Sc leo imethibitisha ubora wake kwa msimu ujao baada ya kuifunga timu ya Afc Leopards ya Kenya kwa goli 4-0.
Shukrani kwa mshambuliaji mzawa Ibrahim Ajib na kiwango maridhawa kutoka kwa mrundi Laudt Mavugo..
Katika mechi ya leo..Simba Sc iliwaanzisha takriban wachezaji wote watakaokuwa na kikosi hicho kwa msimu ujao.
No comments:
Post a Comment