Sunday, July 24, 2016

BALOZI WA TANZANIA INCHINI INDIA AMTEMBELEA HAJI MANARA HOSPITALINI


Balozi wa Tanzania nchini India, Mohammed Hija Mohammed leo amefika kumtembelea Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Simba, Haji Manara.

Mohammed amemtembelea Manara katika hospitali ya Artemis jijini New Delhi akiwa ameongozana na Ofisa Mwandamizi wa Ubalozi huo, Yahya Mhata ambae pia alipata kuwa mwenyekiti wa FAT (TFF) miaka ya 2003/2004.

Manara yuko nchini India akipata matibabu ya macho yake baada ya jicho la kushoto kupoteza uwezo wa kuona huku lile la kulia likiwa limepuguza kabisa uwezo

No comments:

Post a Comment