Wadau wa maendeleo ya kijiji cha Madale Leo watapata burudani kabambe itakayotolewa na bendi maarufu Tanzania Sikinde katika ukumbi was kisasa kabisa Lemon barbeque ambao upon Jirani na kituo cha mabasi-magaigwa
Lengo mahsusi la burudani hiyo iliyoandaliwa na kundi maarufu na lenye nguvu ya ushawishi Wadau wa madale ni kuchangisha pesa kwaajiri ya kukamilisha ujenzi wa kituo cha polis Madale..kituo ambacho kwa asilimia 100 kimejengwa kwa nguvu ya wananchi wa Madale hususani WADAU.
Wananchi wote mnakaribishwa
Kwa kushiriki ktk burudani hiyo utakuwa umechangia katika ujenzi wa kituo cha polis kupitia malipo yako ya kiingilio
Saturday, July 23, 2016
SIKINDE KUBURUDISHA MADALE LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment