Karibuni kijiji cha Makumbusho kuanzia leo, kesho na jumapili katika Tamasha la Wanyasa, mtaweza kufahamu historia yetu, vyakula vyetu vya asili, mavazi yetu ya asili, ngoma zetu za asili utakuwepo Mganda nk, pia unawezajipatia unga fresh wa muhogo, kisamvu, dagaa wa Nyasa, samaki, Likungu kwa bei nafuu, Mkataa kwao Ni Mtumwa, Najivunia Ruvuma Yangu, najivunia Nyasa yangu.
No comments:
Post a Comment