Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania anayechezea klabu ya TP Mazembe ya nchini Kongo, anatarajiwa kukosa mchezo Wa Marejeano dhidi ya Mo Bejaia...
Ulimwengu maarufu Kama Rambo nchini Congo ataukosa mchezo huo baada ya kupata majeraha kwenye mguu wake wa kushoto.
Ikumbukwe kuwa, mechi ya mwisho iliyopigwa baina ya miamba hiyo ilishuhudia sare ya 1-1 kabla ya mchezo
huo utakaopigwa katikati ya wiki hii
No comments:
Post a Comment