Mshambuliaji wa Azam Fc Ame Ali, huenda akajiunga rasmi na Simba Sc baada ya mazungunzo baina ya klabu hizo kwenda vizuri.
Akiongea na mtandao huu, mmoja wa mabosi wa Simba Sc ambaye hakutaka jina lake litajwe, amesema Kuwa usajili huo unatarajiwa kukamilika ndani ya sana 48 zijazo.
Simba imejichimbia mkoani Morogoro tayari kabisa kwa kuanza kwa msimu wa 2016/2017 huku ikikabiliwa na shinikizo la kukosa nafasi ya kuiwakilisha nchi kwa muda wa miaka minne mfululizo.
No comments:
Post a Comment