Mshambuliaji mpya wa Simba sc Ame alli ameanza kujifua rasmi tayari kwa msimu mpya wa ligi kuu Tanzania bara..Ame anaingia Simba SC akitokea Azam Fc alipotolewa kwa mkopo,,wakati huo huo Mfanyabiashara maarufu Mohamed Dewji tayari amewasilisha barua rasmi ya kuinunua Simba SC.
No comments:
Post a Comment