Monday, August 1, 2016

BUSUNGU AREJEA RASMI YANGA

Mshambuliaji wa Yanga Malimi Busungu amerejea rasmi Yanga baada ya kuwa nje ya uwanja kwa takriban ya miezi mitatu..Busungu aliumia enka na sasa anarejea tayari kabisa kuuwasha moto katika ligi kuu Tanzania bara.

Wakati huohuo.,Mabingwa hao wa Tanzania bara leo wataendelea na mazoezi katika uwanja wa Gymkhana.

No comments:

Post a Comment