Mshambuliaji mpya wa klabu ya Simba Laudt Mavugo amewaita mashabiki wa Simba kesho taifa katika mchezo wa kirafiki.
Raia huyo wa Burundi kesho atajitupa uwanja wa taifa kwa mara ya kwanza kuivaa timu ya AFC leopards katika mchezo wa Simba DAY unaotarajiwa kuwa wa kusisimua.
No comments:
Post a Comment