Saturday, August 6, 2016

WACHEZAJI LECEISTER CITY WAKABIDHIWA BMW

Wachezaji wa Leicester City wamekabidhiwa rasmi gari zao baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu Uingereza..

Leicester imekabidhiwa zawadi hiyo jana usiku katika hafla iliyofanyika king Power stadium.

Wakati huo huo..Mabingwa hao wa nchini Uingereza kesho wanatarajiwa kuwa wageni wa Man United katika mechi ya Ngao ya jamii itakayopigwa katika uwanja wa Wembley.

No comments:

Post a Comment