Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania Ambwene Yesaya maarufu kama AY anatarajiwa kuachia singo mbili kwa wakati mmoja kabla ya mwezi ujao.
Akiongea na blog hii..AY amesema nyimbo hizo zitakuwa ni mawe zaidi ya Zigo Remix ambayo ilimrejesha tena kwenye medani ya muziki.
No comments:
Post a Comment