Uongozi wa Simba Sc leo umekubali rasmi kubadili mfumo wa uendeshaji wa klabu hiyo.
Hatua hiyo imekuja katika mkutano mkuu leo ikiwa siku chache baada ya mfanyabiashara Mohamed Dewji Mo kutoka hadharani na kutaka kuwekeza kiasi cha bilioni 20.
Kufuatia hatua hiyo..sasa ni wazi kuwa kamati ya utendaji ya klabu hiyo inabidi ikutane ili itengeneze mfumo rasmi wa hisa wa uendeshaji wa klabu hiyo.
No comments:
Post a Comment