Saturday, August 6, 2016

SIMBA YAMALIZANA NA MAVUGO,BOKUNGU

Klabu ya Simba imemalizana na wachezaji watano wa kigeni kuelekea msimu ujao..
Wachezaji waliosainishwa ni Laudt Mavugo, Javier Bokungu, Kelvin Blagno,Alex Mwanjali na Kelvin Ndusha..Ujio wa wachezaji hao unakamilisha idadi ya wachezaji saba ambao wataungana na Beki Juuko Mursheed pamoja na kipa raia wa Ivory Coast

No comments:

Post a Comment