Na Tausi Salum.
BENDERA ya Tanzania kesho itaanza Rasmi kupepea Mtanzania Andrew Thomas Mlugu Kapteni Msaidizi wa Tanzania atakapo jitupa Ulingoni kupitia mchezo wa Judo uzito wa chini ya kilo 73 ambapo atafungua na mchezaji kutoka Australia. Mchezo huo utafanyika katika kiwanja cha Olimpiki cha Carioca ( Carioca Arena )
11 na 12 August Timu za kuogelea wa Tanzania mita 50 free Style Wanawake na wanaume, wakati 15 August mwanamke pekee katika mashindano ya Riadha Marathon Bi Sarah Ramadhani atakuwa anachuana vikali kabla ya wanaume kufunga utepe siku ya mwisho wa mashindano hayo 21 August 2016. Kiuhalisia hali ya Kambi kwa tuliopo huku hadi sasa Timu za judo na kuogelea pamoja na uongozi mzima upo vema. Ubalozi wa Tanzania nchini Brazil ulifika kututembelea kutujenga kisaikolojia na kihamasa lakini pia kitutanabahishia hali halisi ya maandalizi ya wenyeji na mitazamo yao kuhusu mashindano haya ya kihistoria ya Rio 2016. Mwisho
Poa
Picha yake
▼ Hide quoted text
On 7 Aug 2016 20:24, "asha said" <bakhya2003@yahoo.com> wrote:
Na Tausi Salum. BENDERA ya Tanzania kesho itaanza Rasmi kupepea Mtanzania Andrew Thomas Mlugu Kapteni Msaidizi wa Tanzania atakapo jitupa Ulingoni kupitia mchezo wa Judo uzito wa chini ya kilo 73 ambapo atafungua na mchezaji kutoka Australia. Mchezo huo utafanyika katika kiwanja cha Olimpiki cha Carioca ( Carioca Arena )
11 na 12 August Timu za kuogelea wa Tanzania mita 50 free Style Wanawake na wanaume, wakati 15 August mwanamke pekee katika mashindano ya Riadha Marathon Bi Sarah Ramadhani atakuwa anachuana vikali kabla ya wanaume kufunga utepe siku ya mwisho wa mashindano hayo 21 August 2016. Kiuhalisia hali ya Kambi kwa tuliopo huku hadi sasa Timu za judo na kuogelea pamoja na uongozi mzima upo vema. Ubalozi wa Tanzania nchini Brazil ulifika kututembelea kutujenga kisaikolojia na kihamasa lakini pia kitutanabahishia hali halisi ya maandalizi ya wenyeji na mitazamo yao kuhusu mashindano haya ya kihistoria ya Rio 2016.
No comments:
Post a Comment